- Branża: Broadcasting & receiving
- Number of terms: 5074
- Number of blossaries: 1
- Company Profile:
The largest broadcasting organisation in the world.
neno ambalo hutumika mara nyingi kuwaelezea wale waliohusika katika kutunga na kusiliki Katiba katika Mkataba wa Philadelphia wa mwaka 1787.
Mkataba huu uliwaleta pamoja wajumbe 55 kutoka mataifa 13 wakati huo.
Uamuzi wao na katiba waliyoiunda iliweka msingi wa mfumo wa kisiasa wa nchi. Neno hili wakati mwingine hutumika kuwajumuisha watu wengine waliokuwa ushawishi mkubwa katika kupigania uhuru na wale waliopigana Vita vya Mageuzi.
Industry:Government
Mapigano baina ya wagombeaji kupata matangazo mengi kwenye televisheni na redio iwezekanavyo.
Industry:Government
Wakati mgombeaji ameshinda uteuzi kugombea urais kwenye chama chake, ana jukumu la kumteua "mgombea-mwenza" ambaye atakuwa makamu wa rais iwapo mgombeaji atashinda kwenye uchaguzi. Wawili hao wanarejelewa kama "tiketi".
wagombeaji hushauriwa kumteua mgombea mwenza ambaye "anasawazisha tiketi"-kumaanisha, yule ambaye sifa zake huchangia kusuluhisha udhaifu wa mgombea.
Industry:Government
Uchaguzi wa mchujo (kumchagua mgombea wa uchaguzi mkuu) ambapo watu hukubaliwa kupiga kura pasipo kuzingatia mwegemeo wa chama ama usajili. Hata hivyo, kwenye mchujo wa wazi, wapiga kura hulazimika kuwapigia kura wagombea walio kwenye chama kimoja cha kisiasa.
Industry:Government
Jukumu la kikatiba lilimpa uwezo rais kuwa mkuu wa majeshi ya Marekani.
Chini ya Kifungu III cha Katiba, rais amepewa mamlaka kuongoza jeshi la nchi kavu na la majini la Marekani na wa majeshi yote ya majimbo kadhaa wakati yanapohitajika kutoa huduma halisi kwa taifa la Marekani. "Hakuna rais tokea James Madison katika vita vya 1812 kuliongoza jeshi mwenyewe kwenye vita.
Industry:Government
Wanachama ambao kura zao kwenye mkutano wa kitaifa wa wajumbe huamua rasmi wagombea wa urais wa vyama hivyo viwili.
Wajumbe wengi kwenye mkutano huo wa wanachama hushurutishwa kumpigia kura mgombea kwa mujibu wa matokeo ya mchujo ama vigogo kwenye majimbo yao ya nyumbani. Wanarejelewa kama wajumbe "walioahidiwa" ama "waliochaguliwa".
Baadhi ya wajumbe huwa "wasioahidiwa" na wana uwezo wa kumpigia kura mgombea yeyote kwenye mkutano huo. Kwenye Chama cha Democratic, wajumbe hao huitwa "wajumbe mashuhuri".
Industry:Government
Mgombea ambaye si mwanachama wa vyama viwili vikuu vya kisiasa vya Marekani, Republicans ama Democrats.
Hakuna mgombea wa chama cha tatu amewahi kushinda uchaguzi ingawa wameweza kushawishi vikubwa matokeo. Kwa mfano, mnamo mwaka 1992, Ross Perot aliweza kuchukua kura za George HW Bush na kumsaidia Bill Clinton kushinda tena.
Industry:Government
Kifaa kinachotumiwa na wapiga kura kwenye vituo vya kupigia kura ambavyo hurekodi na kuhesabu kura.
Mashine za kupigia kura zimeletwa chini ya ulinzi mkali katika miaka ya hivi karibuni huku wakosoaji wakitoa kauli kuwa mashine hazina ulinzi wa kutosha dhidi ya udanganyifu.
Industry:Government
Kuchora mipaka ya kisiasa kwenye kiwango cha mashinani, kitaifa na shirikisho baada ya kila mwongo kufuatia sensa ya Marekani.
hili hufanyika ili kuonyesha mabadiliko kwenye idadi ya watu na kusawazisha ama kupunguza idadi ya watu kwenye kila wilaya. Mchakato huu unaweza kusababisha utata kwa sababu ya woga kuwa chama kinacho kinachoungwa mkono zaidi kinaweza kimakusudi kuingilia swala la mipaka kwa manufaa yake katika uchaguzi unaofuata.
Industry:Government