Home > Terms > Suahili (SW) > makamu wa rais

makamu wa rais

Jukumu kubwa la makamu wa rais ni kuchukua urithi wa urais iwapo rais atajiuzulu,atatolewa au hata kufariki.

Jukumu lingine la kikatiba kwa makamu wa rais ni kuongoza bunge la senate la Marekani na kutumia kura yake kuamua pale ambapo pande zote mbili zinalingana. Hali hii hukiukwa tu pale ambapo bunge la senate linatekeleza jaribio la kumwondoa rais mamlakani.

Katika miaka ya hivi karibuni,makamu wa rais wamechukua majukumu makubwa zaidi ya kusimamia sera za kitaifa na kimataifa ambazo ni za hadhi ya juu.

0
Dodaj do mojego słownika

Co chcesz powiedzieć?

Musisz się zalogować, aby wziąć udział w dyskusji.

Terminy w aktualnościach

Wyróżnione terminy

ogongo3
  • 0

    Terms

  • 0

    Słowniki

  • 3

    Followers

Branża/Dziedzina: Ludzie Kategoria: Aktorki

Elizabeth Taylor (almasi, Watu, Actresses)

tatu wakati Academy Awards mshindi, Elizabeth Taylor ni Kiingereza-American filamu legend. Mwanzo kama nyota mtoto, yeye ni maalumu kwa ajili ya ...

Współautor

Polecane słowniki

Product Standards

Kategoria: Edukacja   1 5 Terms

Famous soft drink

Kategoria: Food   1 7 Terms